Loop YouTube Videos

0:00 for beginning

0:00 for end

Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa

TAGS.

Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry 'Madam Flora' amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha. Ndoa ya Madam Flora na Daudi Kusekwa imefanyika jijini Mwanza ambao Ayo TV na millardayo.com imepiga kambi kuhakikisha haupitwi na chochote kilichotokea na hapa nimekuwa video ya tukio zima la harusi hiyo.

Latest Loops