Loop YouTube Videos

0:00 for beginning

0:00 for end

Mstaafu J.K, Diamond na wengine msibani kwa Dr. Mwakyembe

TAGS.

Watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasanii na watu mashuhuri wameendelea kufika nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha mkewe Linah George. Ayo TV imewashuhudia Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete, mwimbaji Diamond Platnumz pamoja na wengine.

Latest Loops